File:Askari Makumbusho Matini Kiswahili - Kilatini.png
HUU NI UKUMBUSHO WA
ASKARI WENYEJI WA AFRIKA
WALIOPIGANA KATIKA VITA KUU
NA NI UKUMBUSHO PIA WA
WAPAGAZI AMBAO WALIKUWA
MIGUU NA MIKONO YA MAJESHI
NI UKUMBUSHO PIA WA
WATU WOTE WALIOTUMIKA WAKAFA
KWA AJILI YA MFALME
NA NCHI YAO
KATIKA AFRIKA YA MASHARIKI
KWENYI VITA KUU
TOKA MWAKA 1914 MPAKA 1918
UKIIPIGANIA NCHI YAKO
UJAPO UMEKUFA
WATOTO WAKO
WATALIKUMBUKA JINA LAKO
ASKARI WENYEJI WA AFRIKA
WALIOPIGANA KATIKA VITA KUU
NA NI UKUMBUSHO PIA WA
WAPAGAZI AMBAO WALIKUWA
MIGUU NA MIKONO YA MAJESHI
NI UKUMBUSHO PIA WA
WATU WOTE WALIOTUMIKA WAKAFA
KWA AJILI YA MFALME
NA NCHI YAO
KATIKA AFRIKA YA MASHARIKI
KWENYI VITA KUU
TOKA MWAKA 1914 MPAKA 1918
UKIIPIGANIA NCHI YAKO
UJAPO UMEKUFA
WATOTO WAKO
WATALIKUMBUKA JINA LAKO